Past Event
Business & Professional
Young Africans vs Simba
by Vodacom Tanzania
Sat, Feb 20. 1PM - 3PM
Tanzania National Stadium
About This Event
Mashabiki wote wa Simba na Yanga wanakutana hapa kujadiliana na kupeana mbinu za kummaliza mpinzani. Tuwe pamoja.
Ukurasa huu pia utakuwezesha kujishindia muda wa maongezi kukuwezesha kuongea bure deilee ukiwa na Vodacom.