Event Details
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VITENDO "UNIVERSITY MCHAKAMCHAKA"
UTENGENEZAJI WA CARPET AU MAZULIA,BATIKI ZA KISASA, BIDHAA ZA VIWANDANI KAMA SABUNI ZA KUOGEA/MAJI NA DAWA ZA USAFI,USINDIKAJI WA BIDHAA ZA MASHAMBANI NA MAPISHI KAMA VILE NYAMA YA NGANO,CRIPS NA UFUGAJI WA KISASA WA KUKU,UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU, PAMOJA NA KILIMO BORA CHA MAZAO YA TIKITIMAJI, BAMIA. Sambamba na mafunzo ya kivitendo utapata fulsa ya kutembelea shamba darasa na kujifunza zaidi.
KWA MAWASILIANO YA NAMNA YA KUHUDHURIA SEMINA WASILIANA NA WAKALA WETU.
Chriss Mtepa: 0656265299
NI kwa watu wa Dar es salaam pekee.