Event Details
KARIBUNI katika Tamasha la Taifa la Usalama Barabarani litakalofanyika tarehe 12.08.2017 (badala ya tarehe 05.08.2017) kama ilivyotangazwa hapo awali. Tamasha litafunikwa na mambo mbalimbali ikiwemo michezo, burudani za muziki kutoka wasanii mbalimbali, jogging, soka, nk.
TWENZETU TAIFA 12.08.2017