Search

ended almost 7 years

SIMBA SC VS AZAM FC

By Nyanda Jr 11

Event Details

Mechi Kali ya ligi kuu Tanzania bara raundi ya 17 azam FC wakiwa nafasi ya 3 wakiwa na point 33 huku simba wao wakiwa kileleni kwa point 38.Simba hawajapoteza mchezo wowote kwenye ligi huku Azam wao wakiwa wamepoteza mechi moja. Je simba atapoteza mechi yake ya kwanza ama papaa John bocco na king okwi wataendelea kukiwashaa. Yetu macho
Google Map
Top Locations
Locations & Categories
All Event Categories

Sign In

Discover great experiences with eGotickets