Mashindano Makubwa Ya Afrika Ya Kuhifadhi Kusoma Qur'an

Mashindano Makubwa Ya Afrika Ya Kuhifadhi Kusoma Qur'an
past about 1 year ago

Starts: Sunday, 11 June, 2017 04:00am

Ends: Sunday, 11 June, 2017 10:00am

Event Details

Mashindano hayo ya 18 ambayo yameandaliwa na Taasisi ya ALHIKMA FOUNDATION yatafanyika mwaka huu tarehe 11 mwezi huu wa sita katika uwanja mkubwa wa Taifa Daresalaam kuanzia saa moja Asubuhi hadi saa 7 mchan
Na mgeni Rasmi atakuwa ni Imam wa Miskiti ya Makka Na Madina Doctor Sheikh Abdul Rahman Al-Sudeis,
na Pia atakuwepo Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kasim Majaliwa

HAKUNA KIINGILIO Karibuni nyoote