Mahafali Ya 27 Kampasi Ya Singida

By Tanzania Public Service College - Mtwara Campus
Fri, Sep 22. 6:00AM - 11:00AM
Tanzania Public Service College - Mtwara Campus, Mtwara

Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi- Utumishi. Kila mhitimu anataki a kuzingatia yafuatayo:- 1. Kuthibitisha ushiriki kabla ya tarehe 19 Septemba 2017 kwa barua au simu kwa ofisi ya usajili tawi la Singida: Simu ya Ofisi: 0 262 502933 Simu za Mkononi: 0685 024021, 0753 111560, 0769 695751, 0788 015002 Njia ya Whatsapp: 0767 023521, 0762 105177 Email: singida@tpsc.go.tz 2. Vazi rasmi la mahafali litakuwa suti ya kiofisi (executive suit) nyeusi au "Dark Blue", shati jeupe la mikon0 mirefu kwa wote, pamoja na Skafu. Gharama za kukodi skafu (zitakazopatikana chuoni) ni shs. 10,000/= (fedha ambayo Hairudishwi) Malipo ya skafu hizo yafanywe mapema kwenye akaunti ya Chuo cha Utumishi wa Umma Singida, Benki ya CRDB, A/C NO: 0150363185200 a-) Rehearsal itafanyika Alhamisi tarehe 21 Septemba 2017 saa 8:00 mchana eneo la Mahafali b) Majina ya wahitimu yatapatikana wavuti ya chuo: www.tpsc.go.tz au www.tpscsingida.ac.tz au www.tpscmtwara.ac.tz

Google Map