Taasisi ya Wapima Ardhi Tanzania(IST) wakishirikiana na Baraza la Taifa la Wapima Ardhi(NCPS) inawatangazia wadau wote wa masuala ya Upimaji Ardhi kuwa kutakuwa na Kongamano la wapima Ardhi Tanzania Litakalofanyika jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 2-3/Novemba/2016 katika ukumbi wa Mlimani City.
KAULI MBIU: Wajibu wa wapima Ardhi katika kutekeleza Mpango wa Taifawa Maendeleo wa Miaka Mitano 2016/17-2020/21.