CHRISMAS PARTY 2015

CHRISMAS PARTY 2015
past over 2 years ago

Starts: Thursday, 24 December, 2015 05:00am

Ends: Friday, 25 December, 2015 08:00pm

Event Details

NI FULL KULA BATA NDANI YA FUKWE ZA ZIWA NYASA (MATEMA BEACH)
Ni mapumziko ya Krismas kwenye Fukwe za Ziwa nyasa ambapo watu tutapumzisha akili, tutafurahi
na kuboresha afya kutokana na ratiba na michezo husika kwa siku hizo.Tutatembelea fukwe za
Matema, Tutajifunza shughuli za uvuvi na kujua aina mbalimbali za samaki wapatikanao katika Ziwa,
Tutaogelea pamoja na kucheza michezo mbalimbali katika fukwe za ziwa, Tutapanda mlima
livingstone, pia tutatembelea Pango la Likyala. Yote katika yote shughuli zote hizi zinasindikizwa na
Nyama choma kwa sana na vinywaji laini Unakosajeeeeeeeeee!!!!!!!!! Hapana hii si ya kukosa,
inakuhusu wewe baba, mama, kijana na mtoto pia.
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA
GAMBASON TOURS & SAFARIS LTD.
+255 737 223 220/ +255 658 821 109/ +255 656 589 090
Email: info@gambasontours.co.tz . amazonicmedia9@gmail.com