African Daughter: TSE-Band introduce their new Album

African Daughter: TSE-Band introduce their new Album
past 11 months ago

Starts: Wednesday, 31 May, 2017 04:00pm

Ends: Wednesday, 31 May, 2017 08:00pm

Event Details

Maaambo vipi wadau!!!
Kile chakula tulikuwa tunapika sasa kimeiva kipo mezani!!!
Album mpya ipo online na pia tunayo mikononi...
AFRICAN DAUGHTER pata na kala yako sasa!
Kesho tutatambulisha Album yetu mpya AFRICAN DAUGHTER pale Goethe Institut!! Tunaanza Saa moja usiku!
Karibuni sana!

Youtube:
https://www.youtube.com/watch?v=XFg_ASAyL5E&list=PLim8ZcTaMuAu1KGKO4zUnVELB17N77UHK