Wiki Loves Africa 2016 Launch

Wiki Loves Africa 2016 Launch
past almost 2 years ago

Fri, Dec 2. 1:00PM - 3:00PM

Buni COSTECH, Ali Hassan Mwinyi Road, Kijitonyama Dar es Salaam, Tanzania

Event Details

Unafuatilia ama kupenda maswala ya upigaji picha yaani Photography ? unafahamu ya kwamba picha ndio zinazotambulisha baadhi ya miji, maeneo na hata Tamaduni za mataifa mbalimbali?

Basi sisi Wikipedia tunakualika uwe nasi katika kujua mengi na ufunguzi wa shindano letu la photography kupitia Progarmu yetu endelevu iitwayo #WikiLOvesAfrica. Mnaalikwa wote mnaopenda mwaswala ya upigaji picha, uingizaji data katika media za mtandao. Njoo ujifunze mengi, na njoo ukutane na wengi. Usikose kufika kesho katika Jengo la Sayansi ama COSTECH pale Sayansi Kijitonyama katika ofisi za Buni kuanzia sa Kumi jioni paka kumi na mbili.
Utapa kufahamu aina ya zawadi zitazotolewa na WiKi Loves Africa katika Shindano hili.

Kukamilisha ushiriki wako gusa button ya "#going " na ungana nasi kesho.

Share na marafiki wanopenda Photoraphy, Music pamoja na Dansi.
Tukutane kesho