Sonda Ya Dihlu Utambulisho wa DVD album

Sonda Ya Dihlu Utambulisho wa DVD album
past 11 months ago

Starts: Monday, 1 May, 2017 11:00am

Ends: Monday, 1 May, 2017 03:00pm

Event Details

Hi everyone, Hii ni event ya Utambulisho wa DVD mpya ya kikundi cha nyimbo za injili SONDA YA DIHLU. Itakua ni siku ya MEI MOSI Tutamwinua Mungu kwa njia ya uimbaji, maana kutakua na waimbaji kama THE LIGHT BEARER, THE VOICE, THE VOCAPPELLA, ANGEL MAGOTI, SAMUEL MWAZINI, SMIRNA FAMILY MUSIC na wengine wengi kwa ajili ya utukufu wa Mungu. kutakua na kiingilio kwa ajili ya ku-support kazi ya huu utume. Wakubwa - 10,000/=, V.I.P - 30,000/= na watoto ni 5,000/=. usipange kukosa baraka hizi. ni ya kwanza kwa mwaka huu.
contact - 0659 837 722 au 0682 550 302