Mkutano wa Taifa

Mkutano wa Taifa
past 6 months ago

Starts: Wednesday, 18 October, 2017 05:00am

Ends: Friday, 20 October, 2017 02:00pm

Event Details

Mkutano wa Taifa wa Skauti Wakatoliki utafanyika kuanzia tarehe 18 hadi 20 Oktoba 2017. Washiriki ni wajumbe wawili kutoka kamati ya skauti wakatoliki jimbo pamoja na Chaplain wao.