Michongo Festival - Punguzo hadi 90%

Michongo Festival - Punguzo hadi 90%
past about 1 year ago

Starts: Saturday, 29 October, 2016 06:00am

Ends: Sunday, 30 October, 2016 01:00pm

Event Details

Tukio la kipekee linalowakutanisha wauzaji pamoja na wanunuzi. Bidhaa na huduma zote zitakazouzwa siku hiyo zitakuwa ni zile zenye punguzo.

Furahia punguzo hadi 90% huku ukiburudika na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wa hapa nyumbani.

Tukio litafanyika katika viwanja vya wazi na ndani ya Mlimani City.

We bring to you Michongo Festival,an extra ordinary event that will bring great exhibitors with hot and overwhelming Michongo in one ground surrounded by many fun activities. It's an event that connects ex­hibitors in Dar es Salaam who have great Michongo with potential buyers who are ready to grab it. This will happen on 29th october at the heart of shopping in Dar es Salaam (Mlimani City grounds)

Nafasi ni chache, Kusajili biashara yako tupigie 0768816728 au email info@michongo.co.tz

We have limited space for exhibitors, To Register your business , please Call us 0768816728 or email info@michongo.co.tz

HAKUNA KIINGILIO (FREE ENTRY EVENT)