MASHINDANO YA QUR-AN YA AFRIKA 2017

MASHINDANO YA QUR-AN YA AFRIKA 2017
past about 1 year ago

Starts: Sunday, 11 June, 2017 05:00am

Ends: Sunday, 11 June, 2017 10:00am

Event Details

Fainali za mashindano makubwa zaidi ya kuhifadhi Qur - an Afrika zitafanyika in shaa Allah Jumapili ya tarehe 11 mwezi wa 6, uwanja mkubwa wa Taifa, Dar es Salaam,mgeni rasmi akiwa Imamu mkuu wa Makka, sheikh Abdulrahman Sudeys