Mashindano YA Qur'an.

By Manhaj Sahihi
Sat, Jun 10 10:00PM - Sun, Jun 11 4:00PM
National Stadium (Tanzania), Dar es Salaam

Mashindano ya Qur'an yatakayofanyika tar 11 mwezi wa 6 mwaka huu 2017 katika uwanja mkubwa wa taifa wa Dar es salaam Tanzania, yatashirikisha washirkri kutoka nchi mbalimbali barani Afrika, fika ujionee nani ataibuka mshindi napia kupata fadhla za ALLAH kwa kuutumia muda wako kufanya yasiyo na maana yatakayopunguza uzito au thamani ya swaum yako. HAKUNA KIINGILIO NI BUURE KABISAA.

Google Map