Kongamano Kubwa la Vijana Tanzania(Tanzania Youth Conference)

Kongamano Kubwa la Vijana Tanzania(Tanzania Youth Conference)
past 12 months ago

Sat, Oct 14. 6:00AM - 3:00PM

City Christian Church C.C.C -Upanga Dar es Salaam, Tanzania

Event Details

Kongamano kubwa la vijana kitaifa. Tutakuwa na Mchungaji Dr Peter Mitimingi atakaye fundisha Mahusiano na ndoa, Albert Nyaruke Sanga atafundisha mafanikio ya uchumi kibiblia na Winnie Nzobakenga atafundisha namna ya kutambua kusudi la kuumbwa kwako na kuliishi. Karibu sana. Njoo upate maarifa mapya.