High Praise

High Praise
past about 1 year ago

Sun, Jul 9. 7:30AM - 11:00AM

Praise & Worship Team Tanzania Maili Moja Kibaha, Tanzania

Event Details

Jumapili Tarehe 9 July 2017 Tutakuwa na High Praise katika kanisa la EAGT KIbamba njiapanda ya Shule kwa Mchungaji Phabian Masare kuanzia saa 3:30 asubuhi hadi saa 7: Mchana.
Karibu tujumuike pamoja kwa kumsifu Mungu na Kumwabudu katika roho na kweli.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa mialiko mbali mbali namba +255 717 596666, +255 743 21 6523 Au +255 625 999 627